Bweta La Uhalifu: Wachopozi Wanavyoibia Wapita Njia Jijini Nairobi | K24 TV | All. The. Time

Home » Swahili » Bweta La Uhalifu: Wachopozi Wanavyoibia Wapita Njia Jijini Nairobi

Bweta La Uhalifu: Wachopozi Wanavyoibia Wapita Njia Part 1

Bweta La Uhalifu: Wachopozi Wanavyoibia Wapita Njia Part 2

Bweta La Uhalifu: Wachopozi Wanavyoibia Wapita Njia Jijini Nairobi

on Jul 29, 13 • with 1 Comment

Hebu fikiria, umetoka nyumbani ukiwa na kiasi fulani cha pesa mfukoni,na unapofika uendapo hauna hata ndururu, ndiyo masiabu ambayo baadhi ya wenyeji wa jiji Nairobi wanakumbana nayo jijini.Kumbe wale dole mbili tayari walitembelea mfuko yao na kuvuna matunda bila ufahamu wao. Kinachoshangaza ni jinsi wao hutekeleza wizi huo kwa mpigo. Tumelivulia juga udhia huu katika jamii na kulianika hadharini genge linalochopoza mifuko ya wengi katika makala ya bweta la uhalifu,wizi wa guberi.
Pin It

One Response to Bweta La Uhalifu: Wachopozi Wanavyoibia Wapita Njia Jijini Nairobi

  1. Sam says:

    This is good work Purity. keep up. Am so proud of you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

Scroll to top